Mad Ice - Malaika lyrics | LyricsFreak
Correct  |  Mail  |  Print  |  Vote

Malaika Lyrics

Mad Ice – Malaika Lyrics

[Intro:]
Uuwo uweeee... Uwoo mama.
Sema malaika... Heya... Nakupenda wee.

[Chorus:]
Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika

[Verse:]
Nami nifanyeje
Kijana mwenzio x 2
Furaha moyoni napo kutia machoni
Si utani angel kwako niko hoi x 2
Nashindwa na mali mi sina wee
Ningekuoa malaika x 2

[Chorus:]
Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika x 2

[Verse 2:]
Kidege kukuwaza wee kidege
Ohoo kidege kukuwaza wee kidege
Usiku silali mawazo mengi darlin'
Nawaza ningekua na hiyo mimali
Nikakulipia mali nikawa nawe mwali
Nadhani mambo mengi kwangu yange kua swari
Nashindwa na mali mi sina wee
Ningekuoa malaika x 2

[Chorus:]
Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika x 2

[Verse 3:]
Pesa pesa zasumbua roho yangu
Mi nasema pesa pesa...
Zasumbua roho yangu
Uzuri wako malaika
Unanifanya nipagawe malaika
Kila napokuona malaika...
Nabaka nahangaika malaika wewe
Ohoo Owuooh

Malaika... Eeh nakupenda malaika
Malaika... Ooh nakupenda malaika wewe
Malaika... Heya nakupenda nakupenda wewe
Malaika... Nakupenda malaika

Nakupenda wewe
Nakupenda wewe
Nakupenda wewe... Til fade.
Share lyrics
×

Malaika comments