Mad Ice - Baby Gal lyrics | LyricsFreak
Correct  |  Mail  |  Print  |  Vote

Baby Gal Lyrics

Mad Ice – Baby Gal Lyrics

[Chorus:]
Kila kitu nachofanya unaona hakifai baby gal, mimi nifanyeje?
Nimefanya mambo mengi nikuridhishe wee lakini gal, You driving me crazy.
Nifanye kitu gani uelewe!
Nifanye jambo gani uridhike!
... Baby gal... (rough voc)

[Verse:]
Nilihitaji unionyeshe mapenzi, Ooh ulinionyesha.
Sikuhitaji unifanyie upuuzi, Ooh ungenikondesha.
Nilikupa chochote ulichotaka, mradi nisione unahangaika.
Lakini bado ulinifanyia pupa, tamaa kichwani zilikuzunguka.
Nilihisi labda umenichoka, kumbe tamaa tu zinakuhangaisha.
Nionyeshe mapenzi na huba, hivyo vyote mpenzi vinapita x2

[Chorus: X2]

[Verse 2:]
Ulimtamani mwenye simu mkononi, Ooh nami nikanunua.
Ulimtamani mwenye dreads kichwani, Ooh kama nywele nikafuga.
Ulinifanya nisifiwe njiani, eti kwa kuwa mii najithamini.
Ila ukweli wangu upo moyoni, upendo wangu kwako niliuamini.
Kama gari, fedha, nyumba nilikupa.
Lakini bado penzi letu liliyumba.
Ulitamani vingine vilivyo bomba, Oh uwo uwo navyo ulipata.

[Chorus: X2]

[Bridge:]
Napenda kukuona ukifurahi lakini jua tamaa haifai.
Sasa nataka, unieleze unachotaka.
Sio unione, mimi kama takataka.
Kila nachofanya, kukiona kama taka.
Utani force. Kamba yetu kuikata.
Wakati muda, bado haujawadia.
Baby gal baby gal, Hey iyeah iyeah.

[Chorus: X2]
End!
Share lyrics
×

Baby Gal comments