Rusty - Mr. Policeman lyrics | LyricsFreak
Correct  |  Mail  |  Print  |  Vote

Mr. Policeman Lyrics

Rusty – Mr. Policeman Lyrics

Intro
Rusty
Featuring
Squad Safi
Sounland Production

Chorus
Mr. Policeman, Afande
Usinishike juu nimebeba kipande
Mimi sio jambazi
Mimi sio jambazi
Mimi sio jambazi
Mimi sio jambazi
Mimi Ni artiste, wa GILO
Naimba bila kuvuruga amani
Mimi sio jambazi
Mimi sio jambazi
Mimi sio jambazi
Mimi sio jambazi

Verse 1
Polisi wakijaribu kutushika hatushikiki
Wakijaribu kututisha hatutishiki
Kwenye rodi tunapitapita
Si ma hustler hatubabaiki
Wanasema mi ni mungiki
Juu niko na nywele bigi
Wanasema nimebeba bangi
Nasijatoka Kariobangi
Hizi kashfa wanaleta leta
Kwenye Tele tunateta teta
Hawajui Mimi ni artiste
Toka kwenye mitaa ya kati
Na hustle game yangu ni dirty
Polisi hawani pati pati
Leo Afande hakuna hongo
Afadhali mi nilale ndani

Verse 2
Mr. Policeman
Kwani ni aje jo!
Nikitoka mitaani, wanihanda doh
Hii story hainibambi juu isha ni bore
Eti nimetoka wapi hepi Carnivore
Anadai niwache ata ka ni soo
Story ya kutoa kidogo nilisema no
Rusty na bado tunawapa more
Risky niko undercover jo
Kupoteza kipande imekuwa blunder jo
Ah, imekuwa blunder jo
Kupoteza kipande imekuwa blunder jo
Risky, yeah

Verse 3
Ma youth wanahandwa ovyo ovyo
Wanapigwa, hawapewi onyo
Polisi wakitafuta hongo
Wanasema hatuna ubongo
Tukiteta si ni waongo
Kashfa mob Kama Githongo
Kulia si hatutaki
Kuumizwa si hatutaki
Kuumizwa si hatutaki
Kushikwa si hatutaki

Bridge
Mr. Policeman
O ooh
Mr. Policeman
No ooo
Mr. Policeman
O ooh
Mr. Policeman
No ooo x2
Share lyrics
×

Mr. Policeman comments