Chorus Ringtone
Nimebadilika ngugu zangu nimebadilika;
Mi si wazamani nimechange ni kiumbe kipya(repeat)
Verse
Tangu zamani nyi mmenijua mtaani bombolulu tukiwalipua,
Tulikua wakali kwa kuiba mali kuvunja milango hata nyumba za mbali,
Tulifanya waschana watoke darasani kwa kuwapa mimba wakabaki matatatani,
Walipofukuzwa makwao nyumbani,
Tuuliwaacha mataani wakilia jamani,
Tuliendanga makwao usiku katikati twapita dirishani twaenda kwetu nyumbani,
Twawarudisha asubuhi kupita dirishani sikua na ndoto na maono ya usoni,
Tangu yesu anijie nina amani moyoni.
Back to chorus

Verse
Nilikua mi mlui kufanya vitu mingi ni kama mi sijui,
Ikifika jioni nishatoka ma mishoni nakua mbioni mpaka jikoni,
Nashikwa na wazimu nachukua hiyo simu,
Masa yuko janta hawezi kunishika najisambaza bila kuwaza,
Wakati mwingine mimi nashika koti ya mbuyu pia namtoanisha,
Kisha naita mabeshte sita kisha tunafika shopping center,
Muda ukipita tushachoka kukatika tunabamba pombe kisha tunawaka,
Zote nimewacha sasa nimechange yoo,
Back to chorus

Verse
Kama ni pombe sigara kuhanya ndugu,
Nimebadilika
Siendi tembo mamba na pia carnivore
Nimebadilika
Nimeoshwa nimetakazwa ndugu
Nimebadilika
Hata pia wewe ukitaka dada utabadilishwa,
Yesu jo alininishika moyoni nimemuweka
Sirudi nyuma ninaenda mbele namutumaini ye ni wa milele;
Nilikua mi sina nyumba yesu jo alinipatia,
Ninakusishi pia wewe ndugu ugundue siri umufuate yesu.
Back to chorus
Correct  |  Mail  |  Print  |  Vote

Nimebadilika Lyrics

Ringtone And Silk – Nimebadilika Lyrics

More Ringtone And Silk lyrics