Mimi naishi mbali niko jonvu kuu
Kwa jina lake la pili hambiya Kismayu
Mungu tanipa sahali nipate nye nafuu
Nimegovu yangu hali kwa kwenda kwa maguu

Mimi naishi mbali niko jonvu kuu
Kwa jina lake la pili hambiya Kismayu
Mungu tanipa sahali nipate nye nafuu
Nimegovu yangu hali kwa kwenda kwa maguu

Nimechoka na dhiki nyingi na udhiya
Na mabaya penzi wangu unifikia

Haya ninayo kwambiya yasiokuwa na budi
Iliupate elewa uliabaidi
Mthana kutwani juwa na usiku ni baridii
Mimi na uguwa fanya jitihadi

Haya ninayo kwambiya yasiokuwa na budi
Iliupate elewa uliabaidi
Mthana kutwani juwa na usiku ni baridii
Mimi na uguwa fanya jitihadi

Nimechoka na dhiki nyingi na udhiya
Na mabaya penzi wangu unifikia

Mahe maya ya na vuja ikinyesha mvua
Huwezi kukiti hajaa ikitokeya

Aris Farah
Mimi hapa nakungoja upate kunithukuwa
Bathibu kunipoza ni wewe juwa

Mahe maya ya na vuja ikinyesha mvua
Huwezi kukiti hajaa ikitokeya
Mimi hapa nakungoja upate kunithukuwa
Kathibu kunipoza ni wewe juwa

Nimechoka na dhiki nyingi na udhiya
Na mabaya penzi wangu unifikia

Mtakuwa na maana tukiwa na utu
Tutafurahika sana kwa kila kitu
Litepukele tushina zinyawiri nyoyo zetu
Inshallah tutaonana ewe wangu mtu

Tutakuwa na maana tukiwa na utu
Tutafurahika sana kwa kila kitu
Litepukele tushina zinyawiri nyoyo zetu
Inshallah tutaonana ewe wangu mtu

Nimechoka na dhiki nyingi na udhiya
Na mabaya penzi wangu unifikia
Correct  |  Mail  |  Print  |  Vote

Jonvu Kuu Lyrics

Malika – Jonvu Kuu Lyrics