top 100
·
top new
·
updates
·
submit lyrics
#
A
B
C
D
E
F
G
H
I
J
K
L
M
N
O
P
Q
R
S
T
U
V
W
X
Y
Z
Correct Usiku Wa Leo Lyrics
Lyrics
►
Artists: M
►
Mr Puaz
►
Correct Usiku Wa Leo
Artist:
Song:
Comment:
Lyrics:
[ Chorus ] Usiku wa leo masela tupo ndani ya party Wote tunaruka tunadance na ma shawty (eeh) (eeh) Eeh eeeh wote tumebling (eeh) (eeh) Dance kwenye flow and dancing ohhh Kata kati (ooh) Please weka mikono hewaaani (eeh) (eeeh) [ verse 1. Structure P ] Usiku wa leo ndani ya party si Mchezo Pilipili kibao lazima kuna mauzo Hapo nimekubali kwa wengi itakuwa gumzo Hey Mr. Dj embu shusha mijazo Iliyokwenda shule kwetu iwe ni funzo Ruka ruka dance tufurahi kwa pamoja Sijaona mi sababu ya we kungoja Embu nipe raha Nijidai Nifurahi Ikiwezekana basi wote tujidai Hii nafasi yangu mimi mwenyewe tu Na sintomind kuona hapo mtu Mum nipe raha tushangaze hawa watu Cheki masister du ndani ya bli walivyoshine Hapa hakuna juice watoto wote ni wine Simu zote mezani hakuna kwenda hewani Waliovaa kanga naomba watupe chini Hili ni night party na hatupo msibani Embu mcheki sister mwenye kitopu White Kweli nimekubali anakwenda na wakati Amekatika kati mpaka kashusha sketi Mwanadamu hamu sina hamu wafahamu Najiepusha sana na matendo haramu, Chunga sana mah hapa kuna HIV We ukichoka basi macho kwenye tv au ushike MIC Kuliko ule raha na wale ma vip Heri tu uje tubanane na mimi Structure P [ Chorus ] Usiku wa leo masela tupo ndani ya party Wote tunaruka tunadance na ma-shawty (eeh) (eeh) Eeh eeeh wote tumebling eeh eeh Dance kwenye flow and dancing (ohhh) Kata kati (ooh) Please weka mikono hewaaani, (Eeh) (eeeh) [ Verse 2. Mr Puaz ] Pata taswira kali pitia yangu Mashairi Muda mfupi ujao utapata jibu kamili Hutakiwi kuwa lonely ukajapigwa magoli No time to waste fungua yako akili Tafuta zako pene kisha nyingi uzichange Jiweke sop kimwili kila upande Andaa zako bling upite wakuite king Na masister duu mapozi waitwe queen (Yeah) Uzivae zikukae fresh kwako mwilini Piga full white simu sikioni una chat Muda ukifika usiku wa leo upo fiti Tujidai tufurahi milupo kwanza baadae Acha babaika kacheze na umpendae Hapa Nizo B utanikuta niko bling [ Verse 3. Eddy G ] Hapa bling bling toka juu mpaka chini Kwa monekano hii party itakuwa makini Masister duu mabrother men ndo usiseme Yani usiku wa leo upo full usipime Kwenye sekta ya vinywaji eeh bana kila kitu ni shwari Kila kitu kipo yani mpaka pombe kali Wapenda ulabu sekta yenu haina tabu Ukikosa babu yani itakuwa aibu Bora uwahi kuna muda wa dinner Yani usiku wa leo usikose fanya hima Ni part ya kistaarbu ya kupata Ulabu Ni eddy G usiku wa leo nipo Club Hatiyani kurupushani zako Sasa nimekubali na nimevuta picha karibu mfasili Nimemix sana misemo na methali Kweli hili ni bonge la party si mchezo Watu wanavyoshake embu mcheki Nizo Hivi hujaamini kama kweli hili gumzo Basi nipe raha nile raha kwa furaha isijekuwa bala mwishoni Ikawa karaha Hivi ni nini unachotathmini Kichwani akilini Panda jukwaani utupe tafrani makini kwa yakini Walakini no mi nasema no, Au kama unabisha embu sikia michano Leta migongano wala si malumbano Hili ni fataki kimantiki (maah) Ndo mana sishikiki sitamaniki (mah)
add rows