top 100
·
top new
·
updates
·
submit lyrics
#
A
B
C
D
E
F
G
H
I
J
K
L
M
N
O
P
Q
R
S
T
U
V
W
X
Y
Z
Correct Mwanzo Na Mwisho Lyrics
Lyrics
►
Artists: K
►
Kanji Mbugua
►
Correct Mwanzo Na Mwisho
Artist:
Song:
Comment:
Lyrics:
[Verse] Nilidhani nitaangamia tabu zilinizidi Katika masononeko nikamlilia Bwana Kwani ngome tumaini ni mwamba wa wokovu [Bridge] Nitamuinua Nitamsifu Ndiye mwokozi Ni Alpha na Omega [Chorus] Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana Tunakupa mamlaka mamlaka Mamlaka Milele [Bridge] Nitamuinua Nitamsifu Ndiye mwokozi Ni Alpha na Omega [Chorus] Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana Tunakupa mamlaka mamlaka Mamlaka Milele [Outro] Ndiye Mwanzo na Mwisho Mungu wa Israeli Ndiye Mwanzo na Mwisho Jina lake Jehovah Transpose to Key of F [Outro] Ndiye Mwanzo na Mwisho Mungu wa Israeli Ndiye Mwanzo na Mwisho Jina lake Jehovah [Chorus] Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana Tunakupa mamlaka mamlaka Mamlaka Milele [Outro] Ndiye Mwanzo na Mwisho Mungu wa Israeli Ndiye Mwanzo na Mwisho Jina lake Jehovah
add rows