top 100
·
top new
·
updates
·
submit lyrics
#
A
B
C
D
E
F
G
H
I
J
K
L
M
N
O
P
Q
R
S
T
U
V
W
X
Y
Z
Correct Tabasamu Langu Lyrics
Lyrics
►
Artists: D
►
Don Jatelo
►
Correct Tabasamu Langu
Artist:
Song:
Comment:
Lyrics:
Intro [Instrumentals ] Chorus] Moyoni mwangu, nina amani, Ninayopata kwako Mpenzi wangu, usiende mbali, You tabasamu langu. X2 [Verse:] Mpenzi mwandani mahabubu Naanza kwa kuomba msamaha Nilijaribu na sikuweza Kuyasarifu maneno matamu X2 Kuna makosa yalifanyika Ukaondoka kwangu vigafla Sikuamini kwamba waenda Mpenzi we X2 [Chorus:] Moyoni mwangu, nina amani, Ninayopata kwako Mpenzi wangu, usiende mbali, You tabasamu langu. X2 [Verse 2:] Kwako nimeonja asali Na sitaki tena sukari Wewe ndiwe mpenzi wangu Eeeeeeeeeee [Instrumentals] Kwa mwengine sitokwenda Mola wewe kanitunuku Itakuaje wewe karibu Mpenzi .... [Chorus:] Moyoni mwangu, nina amani, Ninayopata kwako Mpenzi wangu, usiende mbali, You tabasamu langu. X2
add rows