Kanji Mbugua - Mwanzo Na Mwisho lyrics | LyricsFreak
Correct  |  Mail  |  Print  |  Vote

Mwanzo Na Mwisho Lyrics

Kanji Mbugua – Mwanzo Na Mwisho Lyrics

[Verse]
Nilidhani nitaangamia tabu zilinizidi
Katika masononeko nikamlilia Bwana
Kwani ngome tumaini ni mwamba wa wokovu

[Bridge]
Nitamuinua
Nitamsifu
Ndiye mwokozi
Ni Alpha na Omega

[Chorus]
Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Bridge]
Nitamuinua
Nitamsifu
Ndiye mwokozi
Ni Alpha na Omega

[Chorus]
Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Outro]
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah
Transpose to Key of F

[Outro]
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah

[Chorus]
Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Outro]
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah
Share lyrics
×

Mwanzo Na Mwisho comments