Eli Maliki - Nakupenda lyrics | LyricsFreak
Correct  |  Mail  |  Print  |  Vote

Nakupenda Lyrics

Eli Maliki – Nakupenda Lyrics

[Verse 1]
In My Many Flows,
A Times I Get Lost In My Zone
Natafuta Fursa Za Hela Usiku Na Mchana (Oh oh oh)
Truth Is, I Love You So
I Know That I Need To Show It A Little More
Siwezi Kuishi Bila Wewe,
Maisha Si Kamili Bila Wewe.

Chorus
Nakupenda Nakupenda Nakupenda
Malkia Baby { X2 }

Verse 2
Ah ah ah Haijalishi Mvua Au Jua Tutazidi Ku,
Simama Imara Bila Shaka Mara Kwa Mara
Kuelewana Hata Tukukosana Tunapenda
I Wanna Be A Better Man For You
Yo’ My Dream Queen Baby

Chorus
Nakupenda Nakupenda Nakupenda
Malkia Baby { X2 }

Bridge
Wewe Ni Wakipekee (Wewe Ni Wakipekee)
{x4}

Chorus
Nakupenda Nakupenda Nakupenda
Malkia Baby { X2 }
Share lyrics
×

Nakupenda comments