CHORUS: KALI D
Dedication to ma worldwide hustlers
Maboys wa mtaa wale hujilisha
Hawana job lakini haueziwatisha
Wakikupita hao wenyewe wameng’aa kukushinda
Dedication to ma worldwide hustlers
Maboys wa mtaa wale hujilisha
Hawana job lakini haueziwatisha
Wakikupita hao wenyewe wameng’aa kukushinda
Haujitafutia chapa fala sikiza

VERSE 1: KALI D
15 kijana alikuwa na dreams za kulive young and rich
Ile time K-South na Shaka pekee ndio walikuwa wamehit
Kila verse anaspit ilikuwa ni masterpiece
Mtaa ilikuwa ni 2000 streets
Hood imejaa drug na thieves
Drinks illicit na mapolisi poverty ilikuwa imezidi
Sa boy akanza kupay studios a visit
Lakini kila moja alipata wanadai akuje na riziki
Basi akaamua kutake it back to the streets
Atafute njaro anaeza hustle aezange pata msimamo
Kiasi ya kulipa labo, wiki moja ye adrop cd double
Kirhymes anajitrust enyewe alikuwa nazo
Kuanzia kitambo akiwa primo hizi thoughts zilikuwa zina mdrive psycho
Na kwa hiyo harakati ya kutafuta doe
Ashapigwa mob drugs zote ashatumia police station ka zote ashalodge
Lakini bado anaangusha rhymes of course
Ye ni product ya ghetto place hakunanga kulose hope
Ni kubeleive siku yako ikifika utamulikwa na God au sio?

CHORUS: KALI D
Dedication to ma worldwide hustlers
Maboys wa mtaa wale hujilisha
Hawana job lakini haueziwatisha
Wakikupita hao wenyewe wameng’aa kukushinda
Dedication to ma worldwide hustlers
Maboys wa mtaa wale hujilisha
Hawana job lakini haueziwatisha
Wakikupita hao wenyewe wameng’aa kukushinda
Haujitafutia chapa fala sikiza

VERSE 2: KALI D
Cheki posi ya hiyo kikosi skiza story kwa makini na ukuje slowly
Juu ka ni uchokozi hapa ni boxing na haikosi utalazwa hosi
Mi itabaki nasakanywa na maponyi
Niko area lakini hawanioni
Ni ka vile msee anaeza kupita anachoma fegi lakini harufu inatoka ni ya
Gode
Peace kwa makonkode wa kunganisha fulltime pia wa masquadi
Wale wanaelewa lazima vako za roadi
Na mabadman haujitetea na kuruka noma hata wakipelekwa korti
Lazima watu wa dishi lazima nilipe kodi
Wase wote wa beam wanaojua kumake doe endelea kudo your thing
Watu wa keep clean, ng’ara nguo za kimagazine ka una uwezo
Ka haujiezi hustle videadly
Mi yangu ni rap na kusema ukweli itanilipa na isipo itanifanya ni creki
Nita spit, nita spit mpaka nideadi
Na kwa coffin yangu iekewe mic kando yangu watu wacheki
Wasanii watoe madom na waziseti
Minisha creki nakushow nishacreki
Correct  |  Mail  |  Print  |  Vote

Worldwide Hustlers Lyrics